Eusebi wa Fano
Eusebi wa Fano alikuwa askofu wa Fano kuanzia mwaka 523 hadi kifo chake mwaka 526[1].
Alitumwa na mfalme Theodoriko Mkuu kwa Kaisari Yustino I wa Konstantinopoli kuongozana na Papa Yohane I[2][3] ili Waario wasiendelee kudhulumiwa. Ingawa ujumbe ulifaulu walau kiasi, waliporudi walifungwa naye hadi wakafa kwa magumu yaliyowapata.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/49930
- ↑ Anonymus Valesianus, 15.90; translated by J.C. Rolfe, Ammianus Marcellinus (Harvard: Loeb Classical Library, 1972), vol. 3 p. 565
- ↑ Raymond Davis (translator), The Book of Pontiffs (Liber Pontificalis), first edition (Liverpool: University of Liverpool Press, 1989), p. 49
- ↑ Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |