Mt. Yohane I

Papa Yohane I alikuwa papa kuanzia 13 Agosti 523 hadi kifo chake tarehe 18 Mei 526. Alimfuata Papa Hormisdas akafuatwa na Papa Felisi IV.

Anaheshimiwa kama mtakatifu. Sikukuu yake ni tarehe 18 Mei.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Papa Yohane I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.