Ezekieli Moreno, O.A.R. (kwa Kihispania: Ezequiél Moreno y Díaz; Alfaro, La Rioja, Hispania, 9 Aprili 1848Montegudo, Navarra, Hispania, 19 Agosti 1906) alikuwa Mwaugustino mmisionari huko Ufilipino, Asia visiwani, halafu huko Kolombia, Amerika Kusini alipopata kuwa askofu wa Pasto.

Mt. Ezekieli.

Papa Paulo VI alimtangaza mwenye heri tarehe 1 Novemba 1975, na Papa Yohane Paulo II alimfanya mtakatifu tarehe 11 Oktoba 1992[1].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 19 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Rafael Lazcano, Episcopologio agustiniano. Agustiniana, Guadarrama (Madrid), 2014, vol. II, 2024-2063. [Life, works, studies, iconography and wegraphy).

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.