Felisi, Filipo na wenzao
Felisi, Filipo na wenzao Vitalis, Marsiali, Aleksanda, Silano na Januari (walifariki katika katakombu tatu tofauti za Roma, Italia) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |