Felisiani wa Foligno

Felisiani wa Foligno (San Giovanni Profiamma, karibu na Foligno, Umbria, Italia, 160 hivi - Foligno, 24 Januari 250 hivi) anayehesabika kuwa askofu wa kwanza wa eneo hilo lote kuanzia mwaka 204 hadi kifo chake [1].

Sanamu ya Mt. Felisiani huko Foligno.

Tangu zamani anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa kila mwaka tarehe 24 Januari[2].

Maisha

hariri

Aliinjilisha mapema sehemu kubwa ya mkoa wa Umbria wa leo[3]-

Akiwa na umri wa miaka 90 hivi aliteswa kwa kukataa ibada kwa miungu ya Dola la Roma, akafa wakati wa kuburutwa kuelekea Roma kuuawa[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Patron Saints Index: Saint Felician of Foligno". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2007-10-26. Iliwekwa mnamo 2020-04-20.
  2. Martyrologium Romanum
  3. [http://www.santiebeati.it/dettaglio/90911 San Feliciano di Foligno
  4. Saint of the Day, January 24: Felician of Foligno & Messalina Ilihifadhiwa 29 Novemba 2009 kwenye Wayback Machine. SaintPatrickDC.org. Retrieved 2012-03-08.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.