Fereoli na Ferusi (kwa Kifaransa: Ferréol et Ferjeux; walifariki Besancon, leo nchini Ufaransa, 212 hivi) walikuwa padri na shemasi waliotumwa na Irenei wa Lyon kuinjilisha eneo la Besancon[1][2].

Sanamu ya Mt. Fereoli.
Sanamu ya Mt. Ferusi.

Baada ya miaka 30 ya kazi hiyo yenye mafanikio makubwa, waliuawa katika dhuluma wa kaisari wa Dola la Roma dhidi ya Wakristo[3][4].

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Juni[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.