Festo na Desideri (walifariki Benevento, mkoa wa Campania, leo nchini Italia, 305) walikuwa Wakristo waliopata kifodini katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano wa Dola la Roma[1].

Mchoro mdogo wa kifodini cha Mt. Desideri.

Festo alikuwa shemasi mmojawapo wa askofu Januari mfiadini.

Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 7 Septemba[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.