Filipo Smaldone (Napoli, Campania, Italia, 27 Julai 1848Lecce, Puglia, 4 Juni 1923) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki aliyeshughulikia maisha yake yote malezi ya kiutu na ya Kikristo ya mayatima, mabubu na viziwi akaanzisha shirika la kitawa la Masista Wasalesiani wa Mioyo Mitakatifu.

Sanamu yake.

Alikuwa pia na uwezo mkubwa wa kuhubiri na kutoa katekesi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 12 Mei 1996 halafu Papa Benedikto XVI alimtangaza mtakatifu tarehe 15 Oktoba 2006.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake.[1]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.