Fursei abati (pia: Fursey, Fursa, Fursy, Forseus au Furseus; Connacht, Ireland, 597 hivi - Mézerolles, Ufaransa, 650 hivi) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Kiselti[1] aliyefanya kazi kubwa kueneza imani na umonaki kotekote katika visiwa vya Britania, hasa kati ya Waanglia[2][3].

Mt. Fursei na mmonaki.

Umaarufu wake ulipomvutia umati wa watu, alihamia Ufaransa alipoendelea kuinjilisha hadi kifo chake[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Januari[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Catholic Encyclopedia: St. Fursey". Newadvent.org. 1909-09-01. Iliwekwa mnamo 2015-03-01. 
  2. "St Fursey". Cathedral.org.uk. 2015-02-25. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-02-04. Iliwekwa mnamo 2015-03-01. 
  3. "St. Fursey". Libraryireland.com. Iliwekwa mnamo 2015-03-01. 
  4. "Who Was Fursey". Furseypilgrims.co.uk. Iliwekwa mnamo 2015-03-01. 
  5. Martyrologium Romanum

Maandishi yake hariri

  • Eileen Gardiner, Visions of Heaven and Hell Before Dante (New York: Italica Press, 1989), pp. 51–55, provides an English translation of the Latin text of his vision of heaven and hell.

Marejeo hariri

  • Ann Williams, Alfred P. Smyth and D. P. Kirby (1991). A Biographical Dictionary of Dark Age Britain. Seaby. ISBN|1-85264-047-2
  • Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN|0-14-051312-4.
  • Buckley, Ann. 'Nobilitate vigens Furseus'. The Medieval Office of St Fursey. Norwich: Fursey Pilgrims, 2014. ISBN|0 9544773 6 7
  • Dahl, L. H., The Roman Camp and the Irish Saint at Burgh Castle (Jarrold, London 1913).
  • Plunkett, S. J., Suffolk in Anglo-Saxon Times (Tempus, Stroud 2005). ISBN|0-7524-3139-0
  • Rackham, O., Transitus Beati Fursei - A Translation of the 8th Century Manuscript Life of Saint Fursey (Fursey Pilgrims, Norwich 2007)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.