Galdino wa Sala
Galdino wa Sala (1096 hivi [1] – 18 Aprili 1176) alikuwa kardinali tena askofu mkuu wa Milano, Italia Kaskazini, miaka 1166-1176.[2]
Kwa nguvu zote aliunga mkono juhudi za Papa Alexander III, za Milano na za miji mingine ya Lombardia, dhidi ya Antipapa Victor IV (1159–1164) aliyetegemzwa na kaisari Frederick I Barbarossa.
Anakumbukwa pia kwa ukarimu wake kwa mafukara na kwa waliofungwa kutokana na madeni.
Papa Alexander III mwenyewe alimtangaza mtakatifu.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 18 Aprili.
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/49900 states that he was born in 1096; other accounts place it at any time in the first few decades of the 12th century
- ↑ GALDINO. Iliwekwa mnamo 3 January 2016.
Viungo vya njeEdit
- Saint Galdinus
- Catholic Hierarchy
- (Kiitalia) San Galdino
Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Galdino wa Sala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |