Gerasimo wa Yordani

Gerasimo wa Yordani (Lycia, leo nchini Uturuki[2][3] - alifariki 475) ambaye, baada ya kwenda Misri kwa mababu wa jangwani, aliishi kama mkaapweke nchini Palestina karibu na mto Yordani, akapata wafuasi wengi na kuwa abati wao.[4].

Picha takatifu inayomuonyesha akimfuga simba[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Machi[5][6] au 4 Machi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. St. Gerasimus, The Society of Clerks Secular of Saint Basil, The Orthodox Catholic Church of the Americas, Holy Inocents Orthodox Church BBS.
  2. Saint Gerasimus, from the Russian Lives of the Saints based on the Menologion of St. Dimitry of Rostov, Orthodox Church in America.
  3. Gerasimus near the Jordan, A. Mertens, "Who was a Christian in the Holy Land?" - Encyclopedia, Studium Biblicum Franciscanum, Jerusalem
  4. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92494
  5. Martyrologium Romanum
  6. Saint Gerasimus, Patron Saints Index, Star Quest Production Network

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.