Gereoni na wenzake

Mt. Gereoni.

Gereoni na wenzake Kasius, Gregori Maurus, Florenti, Inosenti, Konstantino, Viktori na wengineo (walifariki 304) ni Wakristo waliofia dini yao huko Cologne kwa kukatwa kichwa.

Inasimuliwa kwamba Gereoni alikuwa askari[1] wa Kikosi cha Thebe kutoka Misri.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 10 Oktoba.

PichaEdit

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gereoni na wenzake kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.