Open main menu
Giacomo Puccini.

Giacomo Antonio Domenico Michele Secondo Maria Puccini (alizaliwa mjini Lucca, 23 Desemba 1858 - mjini Brussels, 29 Novemba 1924) alikuwa mtunzi maarufu wa opera kutoka nchini Italia. Yaaminika kwamba Puccini ni wa pili kwa umaarufu katika opera baada ya mtunzi mashuhuri wa awali Bw. Giuseppe Verdi. Alitunga opera 14, ambazo nyingi kati ya hizo zinatumika leo hii katika majumba ya opera.

Viungo vya njeEdit