Mkoa wa Lomami Juu

Mkoa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(Elekezwa kutoka Haut-Lomami)


Mkoa wa Lomami ya Juu ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 2,540,127. Mji mkuu ni Kamina.

Mkoa wa Lomami Juu
Haut-Lomami
Mahali paMkoa wa Lomami Juu Haut-Lomami
Mahali paMkoa wa Lomami Juu
Haut-Lomami
Mahali pa Mkoa wa Lomami Juu katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Majiranukta: 08°44′S 24°59′E / 8.733°S 24.983°E / -8.733; 24.983
Nchi Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Wilaya 5
Mji mkuu Kamina
Serikali
 - Gouverneur
Eneo
 - Jumla 108,204 km²
Idadi ya wakazi (1998)
 - Wakazi kwa ujumla 2,540,127


Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Lomami Juu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:



 
Mikoa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Bandera Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Lulua | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Wele Chini | Wele Juu
+/-