Hedwig wa Andechs

Mt. Hedwig akiwa na wengine, Hedwig Codex, Lubin, 1353 (sasa katika J. Paul Getty Museum, California, Marekani[1])

Hedwig wa Andechs (kwa Kijerumani: Hedwig von Andechs), pia: Hedwig wa Silesia (kwa Kipolandi: Jadwiga Śląska); (Andechs, Bavaria, 1174Trzebnica Abbey, Silesia, 15 Oktoba 1243) alikuwa mwanamke wa ukoo tawala wa Andechs ambaye, kisha kuolewa, akawa malkia wa Polandi hadi mwaka 1238[2].

Tarehe 26 Machi 1267 Papa Klementi IV alimtangaza mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa na Wakatoliki tarehe 16 Oktoba.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Hedwig wa Andechs kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.