Helena wa Sinope (aliishi karne ya 18) alikuwa bikira mfiadini, binti wa familia ya Bekiary huko Sinope, jiji la zamani zaidi katika eneo la Ponto, ambalo sasa ni sehemu ya Uturuki.

Anakumbukwa kila mwaka katika kalenda ya watakatifu ya Kanisa la Kiorthodoksi tarehe 1 Novemba.[1]

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. "The Synaxarion. The Lives of the Saints of the Orthodox Church", Volume 2, Holy Convent of the Annunciation of Our Lady Ormylia (Chalkidike) 1999.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.