Orodha ya Watakatifu Wadominiko
Orodha ya Wakatifu Wadominiko inawataja kufuatana na alfabeti.
Baada ya mwanzilishi, Dominiko wa Guzman, wengine wengi wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki kama watakatifu, kama hawa wafuatao:
- Alberto Mkuu
- Alois Bertran
- Antonino wa Firenze
- Antonio Gonzalez
- Anyesi wa Montepulciano
- Bartolomeu wa Braga
- Betrandi wa Garrigues
- Dominiko Henares
- Dominiko Ibáñez de Erquicia
- Dominiko Mau
- Dominiko Nguyen Van Hanh
- Dominiko Nguyen Van Xuyen
- Dominiko Trach
- Dominiko Tuoc
- Fransisko Coll
- Fransisko Diaz
- Fransisko Ferdinando de Capillas
- Fransisko Gil de Frederich
- Fransisko Serrano
- Fransisko Shoyemon
- Ignas Delgado y Cebrián
- Jeromu Hermosilla
- Jordano Ansalone
- Katerina wa Ricci
- Katerina wa Siena
- Luka Alonso
- Margareta wa Hungaria
- Margerita wa Città di Castello
- Maria Alfonsina Danil
- Marina wa Omura
- Martin de Porres
- Mathayo Alonzo Leciniana
- Mathayo Kohioye
- Melkiori García Sampedro
- Mikaeli wa Aozaraza
- Narsisa wa Yesu
- Pere Sans Jorda
- Petro Almató
- Petro Nguyen Van Tu
- Petro wa Verona
- Papa Pius V
- Raimundi wa Penyafort
- Rosa wa Lima
- Thoma Hioji
- Thoma wa Akwino
- Thomas Du Viet Dinh
- Valentino Berriochoa
- Vincent Ferrer
- Vinsenti Shiwozuka
- Visenti Liem Pham Hieu
- Visenti Yen Do
- William Courtet
- Yakobo Kyushei Tomonaga
- Yasinto Casteñeda
- Yasinto wa Krakau
- Yohakim Royo
- Yohane Alcober
- Yohane Heer
- Yohane Macias
- Yosefu Fernandez
- Yosefu Gabrieli wa Rozari
- Yosefu Hien Quang Do
- Yosefu Khang Duy Nguyen
- Yosefu Maria Díaz Sanjurjo
- Yosefu Tuan Van Tran
- Zdislava
Tazama pia
hariri- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu Wadominiko kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |