Orodha ya Watakatifu Wamersedari
Orodha ya Wakatifu Wamersedari inawataja kufuatana na alfabeti.
Mbali ya mwanzilishi, Petro Nolasco, wanashirika wafuatao wanaheshimiwa na Wakatoliki kama watakatifu:
- Aleksanda wa Sisili
- Alois Blanc
- Antonio Vallesio
- Denis wa Moroko
- Egidi wa Fez
- Fernando Perez
- Fransisko wa Moroko
- Gulielmo wa Firenze
- Idefonsi wa Moroko
- Jeromu wa Pratis
- Laurenti Company
- Luis wa Fez
- Maria wa Msaada
- Matia Marko
- Paulo wa Fez
- Pere Ermengol
- Petro Kamino
- Petro Malasanch
- Petro wa Bearn
- Petro wa Mt. Maria
- Ramon Nonat
- Sancho wa Moroko
- Serapioni wa Algiers
- Simoni wa Lara
- Wamersedari Wafiadini wa Afrika
- Wamersedari wafiadini wa Damieta
- Wamersedari wafiadini wa mwaka 1393
- Wiliamu Saggiano
- Yakobo wa Moroko
- Yohane wa Fez
- Yohane wa Moroko
- Yohane wa Grenada
Tazama pia
hariri- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu Wamersedari kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |