Orodha ya Watakatifu Wajesuiti

Orodha ya Wakatifu Wajesuiti inawataja kufuatana na alfabeti.

Ignas kama mkuu wa shirika.

Baada ya mwanzilishi, Ignas wa Loyola, aliyetangazwa mtakatifu mwaka 1622, wametangazwa vilevile wanashirika wengine 52 kutoka Ulaya, Amerika, Asia na Afrika.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu Wajesuiti kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.