Orodha ya Watakatifu Waaugustino
Orodha ya Wakatifu Waaugustino inawataja kufuatana na alfabeti.
Baada ya mwanzilishi, Augustino wa Hippo, wengine wafuatao wanaheshimiwa na Wakatoliki (wengine na Waorthodoksi pia) kama watakatifu:
- Agnelo wa Napoli
- Alfonso wa Orozco
- Bernardo wa Menthon
- Bona wa Pisa
- Bonifasi wa Karthago
- Erkolano wa Perugia
- Ezekieli Moreno
- Gaudioso wa Napoli
- Gaukeri
- Gobati
- Guarino wa Palestrina
- Ivo wa Chartres
- Jeradi wa Beziers
- Juliana wa Cornillon
- Katerina Tomas
- Ketilo
- Klara wa Montefalco
- Laurenti Giustiniani
- Liberati wa Karthago
- Lorcán Ua Tuathail
- Magdalena wa Nagasaki
- Masimo wa Karthago
- Meinardi
- Nikola wa Tolentino
- Odulfi
- Olegari
- Petro Fourier
- Petro wa Arbues
- Petro wa Chavanon
- Rita wa Cascia
- Rogati wa Karthago
- Rustiko wa Karthago
- Servyo wa Karthago
- Setimo wa Karthago
- Tomaso wa Villanova
- Wiliamu wa Eskill
- Yohane Stone
- Yohane Twenge
- Yohane wa Oisterwijk
- Yohane wa Sahagun
Tazama pia
hariri- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Orodha ya Watakatifu Waaugustino kama historia yake, matokeo au athari zake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |