Heming
Heming (Balinge, Uswidi, 1290 – Turku, Ufini, 21 Mei 1366) alikuwa askofu mmisionari[1] kutoka Uppsala[2] kuanzia mwaka 1338 hadi kifo chake, aking'aa kwa juhudi za kichungaji: aliupyaisha sheria za jimbo lake kupitia sinodi aliyoiendesha, alihamasisha masomo kwa waklero, aliboresha ibada na kujenga amani kati ya watu [3].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
- ↑ "Blessed Hemming of Åbo". Saints SQPN. 17 May 2016. Iliwekwa mnamo 6 July 2016. Check date values in:
|date=, |accessdate=
(help) - ↑ "Hemming (1290-1366)". Biografiakeskus. Iliwekwa mnamo 6 July 2016. Check date values in:
|accessdate=
(help) - ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/90728
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |