Hilarioni Mpya (alifariki karibu na Mlima Olimpo huko Bitinia, leo nchini Uturuki, karne ya 8) alikuwa mmonaki maarufu kwa kutetea heshima kwa picha takatifu dhidi ya kaisari wa Bizanti.

Aliongoza monasteri ya Pelecete baada ya jenerali Lakanodraken kuibomoa kwa sababu hiyo[1]. Mwenyewe alifungwa, aliteswa na kupelekwa uhamishoni kwa ajili hiyohiyo.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 28 Machi[2][3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/47560
  2. Martyrologium Romanum
  3. Great Synaxaristes: (Kigiriki) Ὁ Ὅσιος Ἰλαρίων ὁ Νέος. 28 ΜΑΡΤΙΟΥ. ΜΕΓΑΣ ΣΥΝΑΞΑΡΙΣΤΗΣ.
  4. Venerable Hilarion the New the Abbot of Pelecete. OCA - Lives of the Saints.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.