Hip hop ya Kitanzania

(Elekezwa kutoka Hip hop ya Tanzania)

Hip hop ya Kitanzania kwa ujumla hujulikana kama Bongo Flava. Bongo Flava inajumuisha midungo mikubwa mbalimbali, lakini inafahamika sana kwa ushiriki wake katika pop ya Kitanzania. Kumekuwa na mdahalo juu ya Bongo Flava, ambayo imeunganisha na kuanishwa kama miondoko pop, je, kwamba bado inaweza kufuzishwa katika istilahi ya "hip hop" na sio katika harakati za muziki wenyewe ulivyo[1], wakati inaanza inatengeneza sauti nzito ya kipekee ambayo inatofautiana kabisa na hardcore rap au, kwa mfano, kundi la hip hop la Kimasai la X Plastaz, ambao wanatumia mila za kabila la Kimaasai ikiwa kama mtindo wa muziki wao[2].

Wasanii wa Bongo Flava

hariri

Marejeo

hariri
  1. Thomas, A, "X Plastaz & Bongo Flava: Tanzanian hip hop released internationally", [1], africanhiphop.com
  2. "Martin, Lydia. "Bongo Flava: Swahili Rap from Tanzania." afropop.org". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2005-12-17. Iliwekwa mnamo 2010-11-20.

Viungo vya Nje

hariri
  • [2], Extra Listening for Tanzanian Hip Hop and AIDS awareness.
  • Three African musical responses to AIDS [3], Recordings from Africa show the range of musical responses to the pandemic.