Jeanne d'Arc

Jeanne d'Arc (mnamo 141230 Mei 1431) alikuwa msichana Mfaransa anayeheshimiwa kama shujaa wa uhuru wa Ufaransa na mtakatifu wa Kanisa Katoliki.

Jeanne d'Arc

MaishaEdit

Aliongoza jeshi la Ufaransa katika kipindi kimoja cha Vita vya Miaka 100 dhidi ya Uingereza akawashinda Waingereza na kuhakikisha umoja wa Ufaransa.

Baadaye alikamatwa na Waingereza akahukumiwa kuchomwa moto na mahakama ya Wafaransa walioshirikiana na Waingereza kwa tuhuma za kuwa mzushi na mwasi wa Mungu.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jeanne d'Arc kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.