Juliana wa Cornillon

Juliana wa Cornillon (pia: wa Liege; Retinnes, leo nchini Ubelgiji, 1192 hivi – Fosses-la-Ville, leo nchini Ubelgiji, 5 Aprili 1258) alikuwa bikira aliyejiunga na Ukanoni wa Waagustino akiwa na umri wa miaka 13[1].

Mt. Juliana alivyochorwa na Goya, 1787.

Baadaye akawa kiongozi wa jumuia akajaliwa karama za pekee zilizomsukuma kupigania ianzishwe sherehe ya Mwili wa Kristo[2] na kujifungia ndani kusali tu [3].

Alitangazwa mtakatifu na Papa Pius IX tarehe 18 Julai 1869.

Sikukuu yake huadhimishwa katika tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "Nobertine Vocations "Corpus Christi & St. Juliana of Liège"". Norbertinevocations.wordpress.com. 2008-05-25. Iliwekwa mnamo 2014-01-23.
  2. The Feast of Corpus Christi By Barbara R. Walters, Published by Penn State Press, 2007 ISBN|0-271-02924-2 page 12
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/48625
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  • Chanoine Jean Cottiaux, Sainte Julienne de Cornillon, Liège, Carmel de Cornillon - sanctuaire de Sainte-Julienne, 1991, 260 p.
  • Compte rendu de Fête-Dieu (1246-1996), 1. Actes du colloque de Liège, septembre 1996, Éd. A. Haquin
  • Compte rendu de Fête-Dieu (1246-1996), 2. Vie de sainte Julienne de Cornillon, Éd. Jean-Pierre Delville, Louvain-la-Neuve, 1999
  • Fabrice de Saint-Moulin, Jean-Paul Hendrick, Yves Willemaers, Fêter Dieu avec Julienne de Cornillon, Éd. Fidélité, Collection “Sur la route des saints“, Namur, 1996, 72 p.

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.