Julita na Kwiriko

Picha takatifu ya wafiadini hao wawili.

Julita na Kwiriko (jina la mama kwa Kigiriki Ἰουλίττα, Iulitta, kwa Kiaramu ܝܘܠܝܛܐ, Yolitha, jina la mtotoܡܪܝ ,ܩܘܪܝܩܘܣ ܣܗܕܐ Mar Quriaqos Sahada) walikuwa mama na mtoto wake mdogo ambao mwanzoni mwa karne ya 4 waliuawa kwa ajili ya imani ya Kikristo katika eneo ambalo leo ni sehemu ya Uturuki kusini mashariki.

Kwa sababu hiyo wanaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini, hasa tarehe 16 Juni (Kanisa la Magharibi) na tarehe 15 Julai (Kanisa la Mashariki).

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: