Karinthia
(Elekezwa kutoka Kärnten)
Karinthia (kwa Kijerumani: Kärnten, kwa Kislovenia: Koroška, kwa Kikroatia: Koruška) ni moja ya majimbo 9 ya kujitawala ya Austria lenye wakazi 559.000 kwenye eneo la km² 9.364.
Mji mkuu ni Klagenfurt am Wörthersee. Waziri mkuu ni Peter Kaiser (SPÖ).
Jiografia
haririKarinthia imepakana na majimbo ya Austria ya Tirol, Salzburg na Steiermark.
Miji mikubwa ni pamoja na Klagenfurt na Villach.
Picha za Karinthia
hariri-
Klagenfurt am Wörthersee
-
ziwa Wörthersee
Tovuti za Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Austria Chini (Niederösterreich) • Austria Juu (Oberösterreich) • Burgenland • Karinthia (Kärnten) • Salzburg • Steiermark • Tirol • Vienna (Wien) • Vorarlberg |
Makala hii kuhusu maeneo ya Austria bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Karinthia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |