Kanda za dunia

Kanda za dunia za Umoja wa Mataifa ni mpangilio wa nchi za dunia kwa kanda mbalimbali.

UM imegawa kanda za dunia kwa kusudi la kupanga takwimu za nchi

Kanda zimepangwa kufuatana na bara. Kusudi la mpangilio huu ni namna ya kuonyesha takwimu kuhusu dunia yetu.

Hali halisi haulingani kila mahali na utamaduni au historia ya kila mahali panapotajwa humo.

Viungo vya njeEdit

Orodha ya UM