Karteri na wenzake

Karteri na wenzake Stiriaki, Tobia, Eudosi, Agapi na wengineo (walifariki Sebaste katika Armenia ya Kale, leo Sivas, Uturuki, 315/320) walikuwa askari Wakristo walioteswa kwa kushikilia imani yao katika dhuluma ya kaisari Lisini na hatimaye walichomwa moto [1] [2].

Mchoro mdogo wa kifodini chao.

Ndiyo sababu wanaheshimiwa na madhehebu mbalimbali kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 2 Novemba[3].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. "St. Carterius". Catholic Online. 2010. Iliwekwa mnamo Januari 22, 2010.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93404
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.