Kaunti ya Laikipia

Kaunti ya Laikipia ni mojawapo ya kaunti za Kenya zilizopo baada ya katiba mpya ya Jamhuri ya Kenya kupatikana mwaka 2010.

Makao makuu yako Rumuruti.

Tazama piaEdit