Kevin wa Glendalough

Kevin (kwa Kieire Cóemgen, Caemgen au Caoimhín; kwa Kilatini Coemgenus; 4983 Juni 618) alikuwa mwanzilishi na abati wa kwanza wa Glendalough, County Wicklow, Ireland alipolea wamonaki wengi.[1][2] [3]

Mt. Kevin.
Pango la Mt. Kevin.
Kikanisa cha Mt. Kevin huko Glendalough.
Kanisa la Mt. Kevin.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Tarehe 9 Desemba 1903 heshima hiyo ilithibitishwa na Papa Pius X.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake, 3 Juni[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. John O'Hanlon, Lives of the Irish Saints vol. 6 (1873), p. 51.
  2. Edmonds, Columba. "St. Kevin (Coemgen)." The Catholic Encyclopedia. Vol. 4. New York: Robert Appleton Company, 1908. 8 Feb. 2013
  3. "Saint Kevin". Encyclopædia Britannica.
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri

Vyanzo vikuu

hariri
  • Latin vita of St Kevin, ed. Charles Plummer, "Vita Sancti Coemgeni (Life of St. Kevin)." In Vitae Sanctorum Hiberniae. Vol. 1. Oxford: Clarendon Press, 1910. 234–57.
  • Irish vita of St Kevin, ed. Charles Plummer, "Betha Caimgin (Life of St. Kevin)." In Bethada Nóem nÉrenn (Live of Irish Saints). Oxford: Clarendon Press, 1922. Vol. 1: 125–67 and vol. 2: 121–61. Edition available from CELT.
  • Gerald of Wales, Topographia Hibernica.

Vyanzo vingine

hariri
  • Barrow, Lennox. Glendalough and Saint Kevin. Dundalk: Dundalgan Press, 1972.
  • MacShamhrain, A.S. "The 'unity' of Cóemgen and Ciarán. A convent between Glendalough and Clonmacnoise in the tenth to eleventh centuries." In Wicklow: history and society: interdisciplinary essays on the history of an Irish county, ed. by Ken Hannigan and William Nolan. Dublin: Geography Publications, 1994. 139-50.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.