Kieran Kijana

Kieran Kijana (Ireland, 516 hivi - Clonmacnois, 549 hivi[1]) alikuwa mmonaki padri ambaye mwaka 544 alianzisha monasteri maarufu katikati ya nchi akaiongoza kama abati wa kwanza hadi kifo chake[2][3].

Dirisha la kioo cha rangi likionyesha sura yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yao ni tarehe 9 Septemba[4].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.