Kikamba
Kikamba ni lugha ya Kibantu inayozungumzwa na kabila la Wakamba, wanaoishi nchini Kenya. Wasemaji wa lugha hiyo ni kama milioni 4 na wako hasa katika eneo la Ukambani, Mkoa wa Mashariki wa Kenya. Kikamba kinafanana sana na lugha nyingine za Kibantu kama Kikikuyu, Kimeru, na Kiembu
Viungo vya njeEdit
- lugha ya Kikamba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikamba
- lugha ya Kikamba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kam
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikamba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |