Kiukraini
Kiukraini (kwa Kiukraini: українська (мова), ukrajins'ka mova) ni lugha ya Kislavoni cha Mashariki, mojawapo katika familia ya Lugha za Kihindi-Kiulaya.
Kiukraini | |||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kinazungumzwa nchini: | Ukraini, Urusi, Kazakhstan, Moldova, Marekani, Kanada, Belarusi, Ureno, Slovakia, Argentina, Kirgizstan, Latvia, Romania, Ulaya ya Magharibi, Croatia, Brazil | ||||||||||||||||
Waongeaji: | Milioni 39 | ||||||||||||||||
Daraja: | 25 | ||||||||||||||||
Lugha rasmi: | |||||||||||||||||
Nchi: | Ukraini | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kiisimu: | |||||||||||||||||
|
Kiukraini ni lugha ya pili inayozungumzwa zaidi katika orodha ya lugha za Kislavoni. Kuna waongeaji milioni 37 wanaoongea lugha hii nchini Ukraini, ambapo ni lugha rasmi. Wengi wa wenyeji wake lugha hii ni lugha mama. Kwa hesabu ya dunia nzima, kuna waongeaji wapatao milioni 47 wanaoongea lugha hii.
Alfabeti
haririAlfabeti ya Kiukraini kwa tafsiri ya maelezo kuelekea Kijerumani:
Groß (HTML-Entity) | Klein (HTML-Entity) | wissenschaftliche Transliteration |
deutsche Transkription |
---|---|---|---|
А (А) | а (а) | A a | A a |
Б (Б) | б (б) | B b | B b |
В (В) | в (в) | V v | W w |
Г (Г) | г (г) | H h | H h |
Ґ (Ґ) | ґ (ґ) | G g | G g |
Д (Д) | д (д) | D d | D d |
Е (Е) | е (е) | E e | E e |
Є (Є) | є (є) | Je je | Je je |
Ж (Ж) | ж (ж) | Ž ž | Sch (Sh) sch (sh) |
З (З) | з (з) | Z z | S s |
И (И) | и (и) | Y y | Y y |
І (І) | і (і) | I i | I i |
Ї (Ї) | ї (ї) | Ji ji | Ji ji |
Й (Й) | й (й) | J j 1 | J j |
К (К) | к (к) | K k | K k (statt ks auch x) |
Л (Л) | л (л) | L l | L l |
М (М) | м (м) | M m | M m |
Н (Н) | н (н) | N n | N n |
О (О) | о (о) | O o | O o |
П (П) | п (п) | P p | P p |
Р (Р) | р (р) | R r | R r |
С (С) | с (с) | S s | S s (zwischen Vokalen auch ss) |
Т (Т) | т (т) | T t | T t |
У (У) | у (у) | U u | U u |
Ф (Ф) | ф (ф) | F f | F f |
Х (Х) | х (х) | Ch ch | Ch ch |
Ц (Ц) | ц (ц) | C c | Z z |
Ч (Ч) | ч (ч) | Č č | Tsch tsch |
Ш (Ш) | ш (ш) | Š š | Sch sch |
Щ (Щ) | щ (щ) | Šč šč | Schtsch schtsch (Stsch stsch) |
ь (ь) | ’ bzw. j 2 (Weichheitszeichen) | (–) bzw. j | |
Ю (Ю) | ю (ю) | Ju Ju | Ju ju |
Я (Я) | я (я) | Ja ja | Ja ja |
’ | ’ (apostrophe)3 | (–) |
Viungo vya nje
hariri- makala za OLAC kuhusu Kiukraine
- lugha ya Kiukraine katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ukr
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiukraini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |