Klementi wa Ohrid
Klementi wa Ohrid (pia: Kliment, Klemes; 830/840 - Ohrid[1], leo nchini Masedonia Kaskazini[2], Julai 916) alikuwa msomi, mfuasi maarufu zaidi wa Sirili na Methodi, wamisionari wa Waslavi. Alifanywa askofu akainjilisha Wabulgaria[3][4][5][6][7] [8].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Karl Cordell, Stefan Wolff, Ethnic Conflict: Causes, Consequences, and Responses, (Polity Press, 2009), 64.
- ↑ Official site of the Macedonian orthodox church Archived 2010-03-24 at the Wayback Machine
- ↑ Who are the Macedonians? Hugh Poulton, C. Hurst & Co. Publishers, 2000, ISBN 1850655340, p. 19.
- ↑ Biographical Dictionary of Christian Missions, Gerald H. Anderson, Wm. B. Eerdmans Publishing, 1999, ISBN 0802846807, p. 138.
- ↑ A Concise History of Bulgaria, R. J. Crampton, Cambridge University Press, 2005, ISBN 0521616379, p. 15.
- ↑ Byzantium's Balkan Frontier: A Political Study of the Northern Balkans, 900-1204, Paul Stephenson, Cambridge University Press, 2000, ISBN 0521770173, pp. 78-79.
- ↑ The A to Z of the Orthodox Church, Michael Prokurat, Alexander Golitzin, Michael D. Peterson, Rowman & Littlefield, 2010, ISBN 0810876027, p. 91.
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/91041
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
hariri- Gautier, Paul (1964). "Clément d'Ohrid, évèque de Dragvista". Revue des études byzantines. 22: 199–214.
- Iliev, Ilia G. (1995). "The Long Life of Saint Clement of Ohrid: A Critical Edition" (PDF). Byzantinobulgarica. 9: 62–120.
- Ivanič, Peter (2018). "The Issue of the Origin of Saint Clement of Ohrid and Saint Naum of Ohrid in Slovak and Czech Historiography" (PDF). European Journal of Science and Theology. 14 (1): 135–144. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-06-28. Iliwekwa mnamo 2023-06-28.
{{cite journal}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help) - Мучай, Скендер; Джуери, Суеля; Ристани, Ирклид; Пентковский, Алексей М. (2014). "Средневековые церкви в долине Шушицы (Южная Албания) и славянская епископия свт. Климента Охридского" [Medieval Churches in Shushica Valley (South Albania) and the Slavonic Bishopric of St. Clement of Ohrid] (PDF). Slověne: International Journal of Slavic Studies. 3 (1): 5–42. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-06-28. Iliwekwa mnamo 2023-06-28.
{{cite journal}}
: Cite has empty unknown parameter:|1=
(help) - Popović, Mihailo St. (2016). "Saint Clement of Ohrid: His Life and Aftermath Between Sofia and Skopje". Споменица др Тибора Живковића. Београд: Историјски институт. ku. 77–90.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |