Korbiniani (670/680 - alifariki Maia, Ujerumani, 8 Septemba 725 hivi) alikuwa mmonaki kutoka Ufaransa au Visiwa vya Britania aliyetumwa kama mmisionari halafu akawa askofu katika Bavaria ya leo[1].

Mt. Korbiniani na dubu.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake ni tarehe ya kifo chake[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.