Kubango (pia: Cubango) ni jina la mto Okavango katika nchi ya Angola.

Mkutano wa Cuito (kutoka juu) na Okavango (kutoka kushoto kwenda kulia) (2018).

Chanzo cha mto ni kwenye kimo cha m 1780 juu ya UB katika nyanda za juu za Bie mashariki kwa Huambo, kilomita chache kusini kwa Nova Vila.

Haielekei baharini bali kusini inapoishia katika jangwa la Botswana. Njiani inapita Namibia kwenye kishoroba ya Caprivi. Kuanzia Namibia mto huitwa kwa jina la Okavango.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kubango kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.