Kwadrato wa Athens

Kwadrato wa Athens (Athens, Ugiriki, karne ya 1 - Athens, 129) alikuwa mwanafunzi wa Mitume ambaye alieneza na kutetea Ukristo hata kwa maandishi maarufu[1].

Mchoro mdogo wa Mt. Kwadrato.

Habari zake tunazipata kutoka kwa mwanahistoria Eusebi wa Kaisarea[2].

Inasemekana alikuwa askofu wa Athens[3], lakini wengine wanasema si habari ya hakika.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Septemba[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Walker, Williston; Norris, Richard; Lotz, David; Handy, Robert (1985). The History of the Christian Church (toleo la 4th). New York: Simon & Schuster. uk. 53. ISBN 9780684184173. 
  2. In his Ecclesiastical History, Book IV, chapter 3, Eusebius records that: 1. After Trajan had reigned for nineteen and a half years Ælius Adrian became his successor in the empire. To him Quadratus addressed a discourse containing an apology for our religion, because certain wicked men had attempted to trouble the Christians. The work is still in the hands of a great many of the brethren, as also in our own, and furnishes clear proofs of the man's understanding and of his apostolic orthodoxy. 2. He himself reveals the early date at which he lived in the following words: But the works of our Saviour were always present, for they were genuine:— those that were healed, and those that were raised from the dead, who were seen not only when they were healed and when they were raised, but were also always present; and not merely while the Saviour was on earth, but also after his death, they were alive for quite a while, so that some of them lived even to our day. Such then was Quadratus. Cfr. http://www.newadvent.org/fathers/250104.htm
  3. Eusebius later summarises a letter by Dionysius of Corinth which simply states that Quadratus was appointed Bishop of Athens 'after the martyrdom of Publius', and which states that 'through his zeal they [the Athenian Christians] were brought together again and their faith revived. Cfr. Historia Ecclesiastica, 4.23.
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.