Lidwina
Lidwina (pia: Lydwine, Lydwid, Lidwid, Liduina) wa Schiedam, Uholanzi (1380 - 1433), alikuwa mwanamke maarufu kwa maisha ya kiroho, sala na karama zake.
Tarehe 14 Machi 1890 Papa Leo XIII alithibitisha heshima ya mtakatifu ambayo Wakatoliki walimpa Lidwina tangu zamani.
Maisha
haririAlipokuwa na umri wa miaka 15, Lidwina alianguka na kuvunjika ubavu akiwa anacheza penye barafu. Badala ya kupona, alizidi kulemaa maisha yake yote, mpaka akapooza mwili mzima isipokuwa mkono wa kushoto.[2] [3]
Lidwina alishika mfululizo saumu na sifa yake kama mtakatifu mponyaji ilizidi kuvuma.[4] Maafisa wa mji wake, Schiedam, wametuachia tamko rasmi la kwamba aliacha kabisa kula na kupata usingizi.[2][5]
Lidwina alifariki akiwa na umri wa miaka 53.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Martyrologium Romanum
- ↑ 2.0 2.1 Today some posit that Saint Lidwina is one of the first known multiple sclerosis patients and attribute her disability to the effects of the disease and her fall. Caroline Walker Bynum, Holy Feast and Holy Fast: The Religious Significance of Food to Medieval Women (Berkeley: University of California Press, 1987), 124.
- ↑ Medaer R (1979). "Does the history of multiple sclerosis go back as far as the 14th century?". Acta Neurol. Scand. 60 (3): 189–92. doi:10.1111/j.1600-0447.1979.tb08970.x. PMID 390966.
- ↑ Albers, Petrus Henricus (1910). "St. Lidwina". In Herbermann, Charles. Catholic Encyclopedia. 9. Robert Appleton Company. pp. 233a-233b. http://www.newadvent.org/cathen/09233a.htm. Retrieved 2013-05-07.
- ↑ Caroline Walker Bynum, Holy Feast and Holy Fast: The Religious Significance of Food to Medieval Women (Berkeley: University of California Press, 1987), 125.
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- http://my.homewithgod.com/israel/lidwina/
- Saint Lydwina of Schiedam (Patron Saint Index) Ilihifadhiwa 6 Julai 2008 kwenye Wayback Machine.
- Saint Lydwine of Schiedam, by J.K. Huysmans (translated from the French by Agnes Hastings), 1923, Kegan Paul, Trench, Trubner & Co., London. Reprinted 1979, TAN Books and Publishers, Rockford, Illinois, ISBN 0-89555-087-3
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |