Luigi Carlo Borromeo
Luigi Carlo Borromeo (Graffignana, 26 Oktoba 1893 - Pesaro, 4 Julai 1975) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Italia.
Alipata upadrisho tarehe 30 Machi 1918.
Tangu 1951 hadi 1952 alikuwa askofu msaidizi wa Jimbo la Lodi, akawa askofu wa Jimbo la Pesaro hadi kifo chake.
Viungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |