Luka wa Nicosia (Nicosia, wilaya ya Enna, karne ya 9 hivi - Agira, Enna, karne ya 9 hivi) alikuwa mmonaki wa Ukristo wa Mashariki akawa abati wa monasteri ya Agira katika kisiwa cha Sicilia.

Alikuwa maarufu kwa unyenyekevu na maadili mengine [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 2 Machi[2].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92154
  2. Martyrologium Romanum

Marejeo

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.