Rufina na Sekunda : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''{{PAGENAME}}''' (walifariki karibu na Roma, Italia, 260 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:32, 8 Julai 2020

Rufina na Sekunda (walifariki karibu na Roma, Italia, 260 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kutokana na imani yao wakati wa dhuluma ya kaisari Valeriani[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao ni tarehe 10 Julai[2].

Tazama pia

Tanbihi

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.