Jimbo Katoliki la Bukoba : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jimbo Katoliki la Bukoba''' (kwa Kilatini Dioecesis Bukobaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania ...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 07:50, 8 Januari 2012

Jimbo Katoliki la Bukoba (kwa Kilatini Dioecesis Bukobaënsis) ni mojawapo kati ya majimbo 33 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Kikanisa linahusiana na Jimbo Kuu la Mwanza.

Askofu wake ni Nestorius Timanywa, akishirikiana na [askofu msaidizi]] Method Kilaini.

Historia

Uongozi

Takwimu

Eneo ni la kilometa mraba 8,608, ambapo kati ya wakazi 870,048 (2006) Wakatoliki ni 521,256 (59.9%) katika parokia 29.

Hao wanahudumiwa na mapadri 119, ambao kati yao 113 ni wanajimbo na 6 ni watawa. Hivyo kila mmojawao kwa wastani anahudumia waamini 4,380.

Jimbo lina pia mabruda 11 na masista 512.

Viungo vya nje