Jimbo Kuu la Mwanza

Hii ni sehemu ya mfululizo kuhusu
Kanisa Katoliki
Imani

Umoja wa Mungu
Utatu (Baba, Mwana, Roho Mtakatifu)
Umwilisho Maisha ya Yesu
Msalaba Ufufuko Kupaa
Historia ya Wokovu Ufunuo
Biblia Mapokeo Ualimu Dogma
Neema Dhambi Wokovu Sakramenti
Watakatifu Bikira Maria

Muundo

Papa: Fransisko
Urika wa maaskofu Mitaguso mikuu
Kundi la Makardinali
Kanisa la Kilatini
Makanisa Katoliki ya Mashariki

Historia

Historia Ukristo
Ukatoliki Mlolongo wa Kitume
Sifa nne za Kanisa Utetezi Ekumeni
Maisha ya kiroho Amri Kumi Utawa
Sala Falsafa Teolojia
Muziki Sanaa Sayansi

Ibada

Liturujia Mwaka wa Kanisa
Ekaristi Liturujia ya Vipindi

Mapokeo ya liturujia

Liturujia ya Kilatini (Roma Liturujia ya Trento Milano Toledo Braga Lyon Canterbury)
Liturujia ya Armenia Liturujia ya Misri
Liturujia ya Ugiriki Liturujia ya Antiokia
Liturujia ya Mesopotamia

Jimbo Kuu la Mwanza (kwa Kilatini "Archidioecesis Mvanzaënsis") ni mojawapo kati ya majimbo 34 ya Kanisa Katoliki nchini Tanzania na kama hayo yote linafuata mapokeo ya Kiroma.

Chini yake kuna kanda ya Kanisa yenye majimbo yafuatayo: Bukoba, Bunda, Geita, Kayanga, Musoma, Rulenge-Ngara na Shinyanga.

Kanisa Kuu liko jijini Mwanza, na linaitwa la Epifania.

Askofu mkuu wake Yuda Thaddeus Ruwa'ichi, O.F.M.Cap. alihamishiwa Dar es Salaam (2018).

Historia

hariri

Uongozi

hariri

Takwimu

hariri

Baada ya kumegwa (2010) ili kuanzisha jimbo la Bunda, eneo la jimbo lina kilometa mraba 40,000 hivi, ambapo kati ya wakazi 2,600,000, Wakatoliki ni 627,000 (sawa na 24.1%) na wanaunda parokia 27.

Mapadri ni 73, ambao kati yao 41 ni wanajimbo na 32 watawa. Hivyo kwa wastani kila mmojawao anahudumia waamini 8,589.

Jimbo lina pia mabruda 8 na masista 209.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu Kanisa Katoliki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jimbo Kuu la Mwanza kama historia yake au maelezo zaidi?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.