Magdalena wa Nagasaki

Mt. Magdalena katika mavazi ya Waaugustino.

Magdalena wa Nagasaki (|長崎のマグダレナ|Nagasaki no Magudarena) alikuwa mtawa wa Kanisa Katoliki kutoka Nagasaki, Japani, ambaye alifia dini yake mjini huko tarehe 16 Oktoba 1634 akiwa na umri wa miaka 23.

Wazazi wake walitangulia kufia dini mwaka 1620 hivi.

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri mfiadini tarehe 18 Februari 1981 na mtakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Tazama piaEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Magdalena wa Nagasaki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.