Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

--CaliBen (majadiliano) 10:37, 5 Juni 2021 (UTC)Reply

Picha ya Kindo hariri

Salamu, katika makala hii https://sw.wikipedia.org/wiki/Kindo umeweka picha ambayo haiendani kabisa na makala,makala inazungumzia Lugha ya nchini Uganda lakini picha inaongelea kitu kingine kabisa, ni heri kuirekebisha makala hiyo kwa sababu inaondoa maana katika Kamusi elezo,amani sana Idd ninga (majadiliano

Umesimamishwa hadi utakapojibu hariri

Nimekusimamisha maana nimeona umeingiza picha ovyo bila kujali kama picha ina uhusiano na makala. Nimewahi kuwaonya kwenye kurasa za telegram msichague picha commons kama hazionekani kwenye makala ya enwiki. Umeendelea kuweka picha hovyo mfano Kindo, Nansana, Kigungu (lugha), Elizabeth Murphy Moss (hapa nimefuta picha). Umeweka picha kadhaa ambazo ni michango mizuri, asante! Lakini huwezi kuendelea kumwapa picha ambazo hazina uhusiano na makala.!Naomba ujibu hapa ukithibitisha kamba umeelewa na kwamba utasahihisha makosa hayo. Nikiona haya nitakurudisha. Unaweza kulalamika kwenye ukurasa wa Jamii. Kipala (majadiliano) 12:41, 13 Julai 2021 (UTC)Reply

Kuhusu Infobox hariri

Salamu, kabla ya kuweka Infobox katika makala, hakikisha infobox hiyo inaendana na aina ya makala unayohariri,Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 09:53, 13 Januari 2024 (UTC)Reply