VICTOR BARAKA
Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!
Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.
Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na b) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.
Kwa mawili matatu labda tazama:
- Kuhusu ukurasa wako wa mtumiaji na kurasa nyingine
- Ukurasa wa mwongozo
- Jamii:Msaada (makala zilizomo humo zinaweza kusaidia mara nyingi)
- Ukurasa wa jumuia (pamoja na Wikipedia:Wakabidhi, penye majina walio tayari kukusaidia)
- Makala za msingi za Wikipedia
Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.
Ujue miiko:
- usilete kamwe matini wala picha kutoka tovuti za nje.
- usiingize matangazo ya kibiashara (pamoja na kuelekeza kwa kurasa zenye matangazo).
- usimwage kamwe matini kutoka google-translate au programu za kutafsiri.
- usitumie kama vyanzo vya taarifa au tanbihi <ref>Wikipedia (au mradi mwingine wa Wikimedia)</ref>, ila unaweza kutumia vyanzo vyake kwa kuvitaja vyenyewe moja kwa moja.
Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!
Welcome to Kiswahili Wikipedia!
We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:
- do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
- nor copied texts/images from other webs to this site!
- do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.
- do not use as references <ref>Wikipedia (or another project of Wikimedia)</ref>, though you can use their references by writing them themselves.
As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.
--Riccardo Riccioni (majadiliano) 11:37, 17 Machi 2022 (UTC)
Kuhusu Kuhariri
haririSalamu Victor, hongera sana kwa kuanza kuhariri makala katika Wikipedia ya Kiswahili,wakati ukifanya uhariri hakikisha kwanza unapitia baadhi ya makala kadhaa na kuona namna zinavyoandikwa, mfano ni kama neno MAREJEO, unatumia kwa jina la MAREJELEO,tazama namna nilivyobadili makala yako ya P SQUARE, na uendelee kuifanyia marekebisho zaidi, pia kwa sasa ni heri kuandika makala fupi ili kutoa urahisi kwa watu wengine kuzipitia makala zako, pia ni vyema kutokuendelea kuandika makala nyingi kabla ya makala zako za mwanzo hazijakaa sawa, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 17:30, 17 Machi 2022 (UTC)
- Ndugu, punguza mwendo, jaribu kuangalia kurasa zako zilivyojaa makosa ukajifunze kuyasahihisha. Asante na amani kwako! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:56, 18 Machi 2022 (UTC)
Habari Victor, Hongera kwa uchangiaji wa Makala. Naomba ujitahidi Majina katika Makala yaanze kwa herufi kubwa, pia jitahidi kuongeza umakini kabla ya kuchapisha makala, ili kurekebisha makosa kama inavyoainishwa kwenye majadiliano. Amani kwako! 196.41.58.174 12:48, 18 Machi 2022 (UTC)
Habari Victor, Naomba uzingatie uandishi wa Majina, Majina yote huanza kwa herufi Kubwa. Czeus25 Masele (majadiliano) 13:08, 18 Machi 2022 (UTC)
Kuhusu Kuhariri
haririNdugu, punguza mwendo, jaribu kuangalia kurasa zako zilivyojaa makosa ukajifunze kuyasahihisha. Asante na amani kwako Hussein m mmbaga (majadiliano) 13:07, 19 Machi 2022 (UTC)
Rekebisha Mkala Zako
haririJaribu kupitia makala zako mfano makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Diafra_Sakho#Maisha_ya_kibinafsi kwa ajili ya marekebisho , makala zako zinakuwa na lugha ambayo haieleweki, pia ni vyema kuuliza namna ya kuhariri kuliko kuendelea kuleta makala nyingi ambazo siyo nzuri na wakati mwingine zinakuwa na maneno hayaeleweki , Amani Sana Idd ninga (majadiliano) 14:06, 19 Machi 2022 (UTC)
Kurekebisha Makosa ya Makala ulizoanzisha
haririHabari, naomba kukukumbusha kurudia upya na kurekebisha makala ulizoanzisha. Makala nyingi zinamakosa. Czeus25 Masele (majadiliano) 12:36, 20 Machi 2022 (UTC)
- Tena sana. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 13:21, 20 Machi 2022 (UTC)