Makumbusho ya Tambach

Makumbusho ya Tambach ni makumbusho yaliyoko katika eneo la Tambach, Kaunti ya Elgeyo-Marakwet, nchini Kenya.[1]

Makumbusho ya Tambach
Makumbusho ya Tambach
Makumbusho ya Tambach

Makumbusho hayo hupatikana sehemu yalipokuwa makazi ya mkuu wa wilaya ya zamani.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Tambach Museum - Geographical Location and Historical Background". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-01-30. Iliwekwa mnamo 2020-05-03. 
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Makumbusho ya Tambach kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.