Mkoa wa Maniema
jimbo la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
(Elekezwa kutoka Maniema)
Mkoa wa Maniema ni moja ya mikoa 26 ya kujitawala ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Idadi ya wakazi wake ni takriban 1,246,787. Mji mkuu ni Kindu.
Mkoa wa Maniema |
|
Mahali pa Mkoa wa Maniema katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo | |
Majiranukta: 02°57′S 25°57′E / 2.950°S 25.950°E | |
Nchi | Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo |
---|---|
Wilaya | 5 |
Mji mkuu | Kindu |
Serikali | |
- Gouverneur | Auguy Musafiri |
Eneo | |
- Jumla | 132,520 km² |
Idadi ya wakazi (1998) | |
- Wakazi kwa ujumla | 1,246,787 |
Picha za Maniema
hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Maniema kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Équateur | Ituri | Kasai | Kasai Kati | Kasai Mashariki | Katanga Juu | Kinshasa | Kivu Kaskazini | Kivu Kusini | Kongo Kati | Kwango | Kwilu | Lomami | Lomami Juu | Lualaba | Mai-Ndombe | Maniema | Mongala | Sankuru | Tanganyika | Tshopo | Tshuapa | Ubangi Kaskazini | Ubangi Kusini | Uele Chini | Uele Juu | |
+/- |