Mapambo ya vito
Mapambo ya vito ni vitu vya nakshi ambavyo huvaliwa katika mwili au hata katika nguo alizovaa mtu. Jina hilo hutumiwa kwa vitu vyovyote vilivyompamba mtu.
Vinatumiwa hasa na wasichana, wanamitindo waliobobea katika fasheni, lakini wanaume pia huwa na mapambo yao.
Kazi yake
haririMapambo hayo huvaliwa kwa malengo tofauti kama vile:
Aina zake
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mapambo ya vito kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |